BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAHUNI WATUMIA FURSA KWA KUIBA VIFAA VYA GARI YA MSANII NEY WA MITEGO JIJINI DAR ES SALAAM.


Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia jana ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.




Nay ameiambia Bongo5 kuwa jana aliliacha salama wakati anaenda kulala lakini alivyoamka leo asubuhi,akakuta limenyofolewa baadhi ya vifaa. Hizi ni picha za gari la Nay baada ya kuporwa baadhi ya vifaa vyake.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: