Mcheza filamu za kibongo Wema Sepetu ametuma picha ya mpenzi wake wa
zaman mwanamuziki Diamond Platnamu kwenye akaunti.yake ya instagram na
kuandiki.
“ I jus happen to love dis picture“
baada ya kuweka picha hiyo mashabiki wameanza kumsifia uku wakimponda mpenzi Penny ambae anaaminika ndio mpenzi wa Diamond kwa sasa.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment