BREAKING NEWS: JENGO LA GHOROFA LAWAKA MOTO MTAA WA KAMATA JIJINI DAR ES SALAAM. mtanda blog 6:00 PM Edit JENGO REFU KARIBU NA SUPERMARKET YA SHOPRITE KARIAKOO LINAWAKA MOTOOOOO MUDA HUUU.Jengo la zaidi ya ghorofa nne zimewaka moto katika mtaa wa Kamata jijini Dar es Salaam, hata hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment