Mwanaume akiongea na mwanamke katika mtumbwi uliopo ndani ya maji huku kiumbe adui kwa binadamu tena asiye na huruma akiwanyemelea kwa lengo la kumdhuru mmojawapo, haikuweza kufahamika mara moja nini kilitokea katika eneo hilo.Wakati mungine wapendanao kutafuta eneo ambalo ni salama na tulifu kwa ajili ya maongezi na si kila eneo ni salama.

0 comments:
Post a Comment