MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya kesi
ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja
Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL),
Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson
Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima
ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006),
Absalom Kibanda ambapo wameibuka kidedea baada ya ushahidi upande wa
mashitaka kutojitosheleza. (PICHA: DEOGRATIUS MONGELA NA NYEMO CHILONGANI/GPL)
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / TASWIRA YA FURAHA !!! MAKUNGA, KIBANDA BAADA YA KUSHINDA KESI YAO KISUTU DHIDI YA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment