UTII WA SHERIA BILA SHURUTI !!!. MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI WAKIWA WATULIVU KWA KUSIKIZA HUTUBA KATIKA MKUTANO MJINI MOSHI.
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Pereira Ame Silima kwenye
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa maofisa wakuu waandamizi wa jeshi hilo,
unaofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi mjini Moshi. (Picha na
Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi).
0 comments:
Post a Comment