Abiria wakiwa hawana la kufanya baada ya madereva wa malori ya mizigo
kufunga barabara ya Dodoma –Singida kwa zaidi ya saa 3 eneo la Kisaki,
Kilometa chache kutoka Singida mjini, baada ya mmoja wa dereva wa lori
la mizigo lenye namba za usajili T 528 AZR aina ya Benz kudaiwa kutekwa
na watu wasiojulikana na kisha kujeruhiwa kwa kukatwa mapanga jana
alfajiri katika eneo hilo.
Dereva huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida kwa matibabu zaidi. (Picha na Fadhili Akida).
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment