BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SAMWEL SITTA AWAGALAGAZA WAPINZANI WAKE KATIKA KINYANG'ANYARICHO YA NAFASI YA MWENYEKTI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA.

SITTA NDIYE MWENYEKITI MTEULE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
SAMWEL SITTA

MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO

JUMLA YA WAJUMBE WALIKUWA 629
WALIOPIGA KURA 563
KURA ZILIZO HARIBIKA 7
HASHIM RUNGWE ALIPATA KURA 69
SAMWEL SITTA 487
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

Hapo sawa!