Kijiji cha Mwambao Vijana wakishangilia na Kumpokea Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga wa CCM, Godfrey William Mgimwa.
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wanakijiji wa Kibebe hii leo wakati wa kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Godfrey William Mgimwa.Hii leo Mwigulu Nchemba ameendesha mikutano minne kwenye Vijiji Vinne tofauti (Mwambao, Kibebe, Lupalama na Mangali).Katika Vijiji Vyote Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana na hakika Wameahidi kuiunga mkono CCM hasa kutokana na maendeleo waliyoyapata tangu awali kwa Mbunge aliyefariki.
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wanakijiji wa Kijiji Cha Mwambao hii leo
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mangali hii leo kata ya kalenga
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na wanakijiji wa Kibebe Jimboni kalenga hii leo.
Kada Mtiifu Mtela Mwampamba akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kibebe wakati wa kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Godfrey William Mgimwa hii leo.
Mapokezi mazito Kata ya Kibebe kwa Godfrey Mgimwa mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga.

1 comments:
Wana Karenga mchagueni Kijana, achaneni na wenzetu wa upande wa pili, watemi na chama chao, sheria wanajua wao, ngumi wao, wasomi wao, na chama chao, msiuingie mkenge kama kule mjini.
Post a Comment