BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NI VIDEO INAYOONYESHA JINSI PAKA AVYOFANYA MAAJABU KWA KUMWOKOA BINADAMU ALIYEKUWA ANANG'ATWA NA MBWA.



Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California Marekani.

Hata hivyo mtoto huyu aliepatwa na mkasa huu akiwa anacheza nje ya nyumba yao anaendelea vizuri baada kutibiwa jeraha hilo la Mbwa wa jirani ambapo baadae alipelekwa hospitali na kutibiwa majeraha hayo madogo ya mguuni.
Screen Shot 2014-05-15 at 9.51.05 PM
Unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: