PICHA YA SIKU !!! HATA WANAWAKE WANAWEZA KAZI ZA WANAUME. mtanda blog 11:47 AM Edit Wasichana Salome Eugen na Mwanaisha Salum kulia wakipata rangi katika ukuta wa mahakama ya hakimu mkazi Morogoro baada ya kumalizika kwa ujenzi wa ukuta huo na kujipatia ujira ulio halali, Kazi na namna hiyo hufanywa na wanaume.PICHA/MTANDA BLOG Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment