WEZI WA TANGA NI SHIDA !!! WAIBA NGUO ZA MAITI, BAADA YA KUFUKUA MWILI KABURINI. mtanda blog 12:53 PM Edit Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa.CHANZO ITV. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment