BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI NA KUUA WATU WAWILI BAADA YA KUACHA NJIA KISHA KUGONGA MTI NA KUANGUKIA KATIKA MAKAZI YA WATU
BASI LA SUPER FEO likiwa limepata ajali kwa kuacha njia na kupinduka baada ya kugonga mti na kuangukia katika makazi ya watu, ajali hiyo imepoteza maisha kwa abiria wawili.
Mmoja ya majeruhi
Basi lililopata ajali
Mizigo ya abiria
Hapa ni stend kuu ya mkoa wa Ruvuma na hii ndiyo gali iliyopata ajali na hapa likiwa stendi kabla ya kuanza safari yake(Picha zote na demasho.com)
Gali lililopata ajali
Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali
0 comments:
Post a Comment