BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!! JESHI LA POLISI LATUMIA MBWA NA VIRUNGU KUTAWANYA WAFUASI WA CHADEMA JIJINI DAR ES SALAAM.

 
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Jeshi la polisi jijini Dar es salaam limelazimika kutumia mbwa na virungu kuwatawanya wafuasi wa Chadema baada kuandamana kuelekea makao makuu ya jeshi la polisi.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: