BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MUUGUZI ALIYESAABABISHA KIFO CHA MJAMZITO MWAKA 2009, NAYE YEYE AHUKUMIWA KIFO.

 
Kwenye moja kati ya taarifa kubwa za Kenya September 25 2014 ni pamoja na hii ya Muuguzi mmoja ambae kesi yake ilianza kusikilizwa toka mwaka 2009 nchini humo kwenye kaunti ya Kyambuu.

Kituo cha Radio Jambo kimeripoti kwamba muuguzi huyu Jackson Tali mwenye umri wa miaka 41 amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo cha msichana aliyetafuta huduma za ujauzito wake kwa muuguzi huyu.

Jackson anadaiwa kutenda kosa hilo July 27 2009 huko Kyambuu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: