BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA KUJITAKIA YATOKEA MZUNGUKO WA SUA KATI YA BAISKELI NA PIKIPIKI MOROGORO.

Dereva wa pikipiki akifunga baiskeli katika kitako cha pikipiki yake baada ya kumgonga mwendesha baiskeli aliyekaa chini akiugulia maumivu kufuatia mwendesha baiskeli huyo kushindwa kuzingatia sheria za usalama barabara katika mzunguko wa Sua Manispaa ya Morogoro juzi.PICHA/MTANDA BLOG.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: