Ajali
ya Helkopta ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyotokea mchana wa leo
huko Kipunguni B Moshi Bar katika wilaya ya Ilala Dar es Salaam na kugharimu maisha ya
marubani watu kati yao marubani Wawili ni wa Jeshi la Polisi na rubani
mwingine raia.
Waliopoteza Maisha ni Capt. SP Kidai Kaluse, Capt. Mkaguzi wa Polisi
Simba Musa Simba, Konstebo Josso Selestine na Capt.Khalfan.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa
/ TUKIO LA KUSIKITISHA !! HELIKOPTA YA MALIASILI NA UTALII YAPATA AJALI NA KUUA RUBANI WATATU JIJINI DAR ES SALAAM.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment