BREAKING NEWS: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE EBY SYKES (62) AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM. mtanda blog 7:02 PM kitaifa Edit Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes, amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Ebby Sykes (62) aliyefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam leo. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatia ili kujua nini kinaendelea. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment