Stend United inaongoza kwa kufunga bao dakika ya 11 dhidi ya Simba SC 0 lilifungwa na Mnigeria Ichebe mchezo unaochezwa katika uwanja wa Kambarage Shinyanga.
Mchezo wa Yanga SC na Mbeya City dakika ya 10 milango bado ni migumu hakuna timu iliyotikisa nyavu mpaka sasa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment