BREAKING NEWS: MCHEZAJI WA ZAMANI WA KLABU YA SIMBA SC AFARIKI DUNIA MJINI DODOMA
Mchezaji wa zamani wa klabu ya, Simba SC Christopher Alex Massawe amefariki dunia leo Saa 3 :30 Asubuhi katika mkoani Dodoma.
KIKOSI CHA SIMBA SC, Christopher Alex Massawe mstari wa nyumba mwenye rasta.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaelekewa kuwa mchezaji huyo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea Mtanda Blog ili kupata taarifa zaidi.............
0 comments:
Post a Comment