Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Hamis Tamwe ameifungukia klabu yake bao mbili dhidi ya wapinzani wao kutoka Botwanaatika timu ya BDF 1X ya Botswana katika kombe la shirikisho la soka barani afrika (Caf) uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, mchezo unaendelea.

0 comments:
Post a Comment