BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LIVE MATCH: MBEYA CITY 1-3 YANGA SC MBEYA, STEND UNITED YAIADHIBU SIMBA SC BILA HURUMA KWA BAO 1-0 SHINYANGA.


Yanga sc imeibuka na ushindi mnono wa bao 3-1 mbele ya wenyeji Mbeya City katika mchezo mkali wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Saimon Msuva dakika ya 11 huku bao la pili likipachikwa na Mrisho Ngassa na Amisi Tambwe alihitimisha idadi ya bao la tatu dhidi ya bao moja la Mbeya City.
katika uwanja wa Kambarage Shinynga mwenyeji Stend United iliifumua Simba SC kwa bao 1-0 na kuwafanya wanamsimba kuacha pointi tatu muhimu katika mchezo wa ugenini.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: