LIVE MATCH: AMIS TAMBWE APACHIKA BAO LA TATU KWA YANGA SC MBELE YA MBEYA CITY, SASA YANGA BAO 3-1 JIJINI MBEYA.
DAKIKA ya 78 mshaambuliaji Amisi Tamwe anaiandikia timu yake ya Yanga SC bao la tatu baada ya kona iliyochingwa na kiungo mshambuliaji, Harouna Niyonzima, Yanga 3-1 Mbeya City katika uwanja wa Sokoine.
Simba SC imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa vijana wa Stend United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga baada ya kumalizika dakika 90.
0 comments:
Post a Comment