LIVE MATCH: YANGA SC BAO 1-0 DHIDI YA MBEYA CITY. STEND UNITED BAO 1-0 SIMBA SC. mtanda blog 5:38 PM michezo Edit Stend United inaongoza kwa bao 1-0 mbele ya Simba uwanja wa Kambarage Shinyanga, mchezo ni dakika ni 26 kipindi cha pili wakati Yanga nayo inaongoza kwa kuongoza kwa bao 1-0 na Mbeya City dakika ya 5 kipindi cha pili. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment