
Masihala yamponza kipa wa Mbeya City, David Muruhan baada ya kutaka kumpiga chenga Mrisho Ngassa kabla ya kuunasa na kutumbukiza mpira wavuni kiurahisi na kufunga bao la pili kwa klabu ya Yanga.
dakika ya 70 Mbey City inapata bao la kwanza sasa Yanga 2-1 Mbeya City uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

0 comments:
Post a Comment