BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MITANDAO YA KIJAMII KWACHAFUKA JUU YA UTEUZI WA MA-DC WAPYA 2015 TANZANIA.





 

Mdude Chadema
hakika nchi ilipofikia inahitaji maombi makubwa la sivyo laana itaendelea kulitafuna taifa hili.
Ni ajabu kwa tanzania na dunia kiujumla kuwa na MKUU WA WILAYA aliyekosa maadili namna hii tunaipeleka wapi nchi hii?hivi huyu dada anakuwaje mkuu wa wilaya?aliyemteua ni kiziwi na kipofu wa uelewa na mawazo?ama aliyemteuwa hana washauri?
tuna kazi kubwa ya kulirudishwa taifa hili mikononi mwa MUNGU taifa lililomsahau ALLAH taifa lililokosa maadili mbele za MUNGU muumba mbingu na nchi
na haya ndio matokeo ya kutegemea nguvu za giza kuliko MUNGU
EEee mwenyezi MUNGU LITAZAME TAIFA LAKO LINAANGAMIA TUONDOLEE LAANA TUSAMEHE MAKOSA YETU VIONGOZI WETU WA SERIKALI HAWAJUI WATENDALO..wote tuseme amina. 

 
Hassan Nyalile
Social media bana...sijui watu hatuwajui wasanii wetu ama maksudi..watu wamedownload picha za msanii wa Bongo movie anaitwa Nice Chande hafu wamezipa heading zao..wengine wanasema ndo DC mpya wa Iramba yaani Lucy Mayenga wengine ndo DC mpya wa Mufindi yaani Mboni Mhita...watu “wanaosakiziwa” picha ni maarufu kwenye siasa,Lucy Mayenga ni mbunge viti maalum na kabla ya Iramba alikuwa mkuu wa wilaya Uyui,Mboni Mhita ni Makamu mwenyekiti UVCCM,yaani ukigogle tu unapata picha zao, tunaingiaje mkenge?....masha allah Nice Chande kaumbika wengine wanaandika ndo DC mpya Rorya akati DC wa Rorya ni mwanaume Bw Felix Lyaniva...sasa comments zinazofata duh...mara kapewa uDC kwa sababu ya shape,mara kapewa uDC kwa sababu ya nini,maneno ya kutosha....na picha zinasambaa kwa kasi ya ajabu..hizi social media tuzitumie vizuri..ukipokea picha na taarifa chuja ikibidi chukua muda wako kuchunguza kabla ya na wewe kusambaza...
 


https://www.facebook.com/photo.php?fbid=708593982592814&set=a.128371910615027.23300.100003266576018&type=1&theater 

https://www.facebook.com/photo.php?fbid=708593982592814&set=a.128371910615027.23300.100003266576018&type=1&theater
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: