BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS ROBERT MUGABE AFIKISHA MIAKA 91 TANGU KUZALIWA KWAKE, MUGABE SASA NI KIONGOZI MZEE ZAIDI DUNIANI.

https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/RAIS-MUGM.jpgYeye sasa ni kiongozi mzee kabisa duniani, na amekuwa madarakani kwa miaka 35.
Sherehe ya siku yake ya kuzaliwa itafanywa juma lijalo.
 
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.
Anatarajiwa kufanya sherehe kubwa katika uwanja wa golf huko Victoria Falls, inakisiwa sherehe yenyewe itagharimu dola milioni moja.Rais Mugabe aanguka katika mkutano wa mataifa ya Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia.

Maelfu ya watu watahudhuria karamu hiyo, ambapo kutachinjwa ndovu, nyati, paa na simba mmoja.
Shirika la habari la taifa linasema wananchi watalipia dhifa hiyo
Zimbabwe ni moja kati ya nchi maskini duniani.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: