NYATI AMSULUBU SIMBA HADI KUFA BAADA YA KUKOSEA HESABU ZA KUMKAMATA KWA AJILI YA KITOWEO.
Simba akiwa amechoka kwa kipigo kilichotokana kusulubiwa na nyati kisha kipigo hicho kuendelea na simba kufa.
Kipigo na kusulubiwa kilianza hivi.
Kazi iliendelea ya kusulubiwa kwa simba na nyati.
Alianza kwa kumjeruhi kabla ya kugeuziwa hesabu.
Simba alianza kufanikiwa kumdhibiti nyati kwa ajili ya kitoweo lakini hesabu zake ziligonga mwamba na kusubiwa Simba hata kupoteza maisha kutokana na kipigo kikali.
Nyati baada ya kumsulubu Simbaa kabla ya kupoteza maisha.
0 comments:
Post a Comment