Mabao ya Yanga sc yalipachikwa wavuni na kupitia kwa Saimon Msuya aliyefunga mawili dakika ya 3 kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao lingine dakika 63 kutokana na mipira ya kona iliyochingwa na Andrea Countinho.
Andrea Countinho alifunga bao la pili katika dakika ya 11 katika mchezo huo na kufanya Prison FC kulala kwa kufungwa bao 3-0.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Azam FC walibanwa mbavu kwa kulazimisha suluhu ya bao 0-0 na JKT Ruvu katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani na kubakia na pointi zake 26.
Ligi hiyo itaendelea tena kwa Februari 21 mwaka huu kwa michezo mitatu.
MICHEZO INAYOKUJA
2015-02-21
16:00 | KAGERA SUGAR | Vs | POLISI MORO |
16:00 | NDANDA FC | Vs | COASTAL UNION |
16:00 | MGAMBO JKT | Vs | MTIBWA SUGAR |
MSIMAMO WA LIGI TANZANIA BARA BAADA YA MICHEZO YA LEO FEBRUARI 19/2015.
0 comments:
Post a Comment