YANGA SC YATANGAZA KIKOSI CHA KUWAVAA BDF.
Wachezaji wa klabu ya yanga wakiomba dua katika mazoezi yao kabla ya kuvaa timu ya BDF ua nchini Botswana katika mchezo wa marudio
1.Ally Mustafa " Bartez"
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua.
4.Nadir Haroub (C)
5.Kelvin Yondani.
6.Mbuyu Twite.
7.Simon Msuva.
8.Haruna Niyonzima.
9.Amiss Tambwe.
10.Kpah Sean Sherman.
11.Mrisho Ngassa.
Kocha Mkuu.
Hans van Pluijm
Msaidizi.
Charles Mkwasa.
Uwanja.
Lobatse uliopo karibu na vilima vya Lobatse wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000
0 comments:
Post a Comment