Basi la Majinja limepata ajali eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa baada ya lori lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Mbeya kuangukia basi huku kontena likiwakandamiza makumi ya abiria na wengi wake kufariki dunia papo hapo leo asubuhi.
Lori hilo lilikuwa likikwepa shimo kubwa ambalo lipo katikati ya barabara hadi kupelekea kugongana na basi la abiria mali ya Kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia................

0 comments:
Post a Comment