KIDUME ALIYEWAKUTANISHA WANAWAKE 17 BAADA YA KUPATA AJALI NA KULAZWA HOSPITALINI NDIYO HUYU.
Liaum Yuan.
Huyu ndo yule shababi liaum Yuan aliyepata ajali ya barabarani na kulazwa hospitalini, wapenzi wake 17 walipopata taarifa wote walijikuta pembeni ya kitanda cha bwana huyo.
Ingawa bwana Yuan anapaswa kujipanga atawaeleza nini wanawake hao pindi atakaporudi kutoka hospitali, ambapo kwa sasa wanawake hao wana mjadala mzito katika mtandao wa kijamii Facebook,wa nini cha kumfanya bwana wao.BBC
0 comments:
Post a Comment