BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIFO: PAKA AHUZUNISHWA NA KIFO CHA MWENZAKE BAADA YA KUGONGWA NA KUFARIKI DUNIA HAPO HAPO.

 
NI tukio la huzuni si kwa binadamu anapondokewa na mpendwa wao bali hata wanyama pia hukumbwa na huzini hizo, pichani ni matukio yaliyonaswa na kamera ikimuonyesha paka akiwa kwenye huzuni baada ya mwenzake kugongwa na kupoteza maisha.



Kutokana na tukio hilo paka aliye hai utaweza kuona juhudi alizofanya za kujaribu kumnyanyua mwenzake bila mafanikio kumbe hawezi tena kusimama na kutembea zaidi ya kujawa na mawazo pengine yaliyokosa jibu kwake.
Hapa akiwa pembeni yake baada ya jukudi za kumbeba kutoka kwenye eneo la tukio akimtizama tu.Akimwondoa katika eneo la tukio. 

Akimwondoa eneo la tukio la ajali baada ya kugongwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: