BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DK SHEIN ACHUKUA FOMU ZA CCM ZA KUOMBA KUGOMBEA KITI CHA URAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI 2015.

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa Fomu hizo katiuka Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar. Picha na Ikulu, ZNZ 

LAKINI HIKI NDICHO ALICHOELEZA UMMA WA WATANZANIA WAKATI AKICHUKUA FOMU ZA CCM ZA KUOMBA KUGOMBEA KITI CHA URAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI 2015.


"Mimi ni muumini, sitamdhurumu mtu na nitaiendesha serikali yangu kwa uadilifu lakini sitamuachia atayetaka kuvuruga nchi nitamshughulikia kwa kutumia sheria za nchi".alisema Dk Shein
 

 

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: