MAANA YA SAUMU
Saumu ni neno la kiarabu lenye maana ya kujizuilia na kitu na kukiacha.
MFANO;Mtu akikaa kimya bila kuzungumza wanasema mtu hy amefunga.kasema Allah t.w katika surat maryam aya ya 26"Hakika mm nimeweka nadhiri kwa m/mungu mwingi wa rehema ya kufunga.

Kisheria:maana ya saumu ni kujizuilia na vitu maalum vinavyofunguza kwa wakati maalum kutoka kuingia kwa alfajiri mpk kuzama kwa jua,kwa shuruti maalum,na kwa nia ya kumtii mwenyezi mungu mtukufu na kufanya ibada.
SAUMU KATIKA UISLAM
Saumu ni moja ya nguzo ya dini ya kiislamu kama ilivyothibiti kutokana na kauli ya Allah t.w na hadith za mtume wake Muhammad s.a.w ndani ya surat baqara aya ya 183"Enyi mlioamini!Mmefaradhishiwa kufunga kama walivyofaradhishiwa waliotangulia kabla yenu ili mpate kumcha mwenyezi mungu".Pia kasema katika suratu al baqara aya ya 185"Basi atakaye kuwa mjini katika mwezi huu na afunge"

FADHILA ZA SAUMU
Saumu ni miongoni mwa ibada iliyo na daraja ya juu kabisa mbele ya mwenyezi mungu mtukufu na yenye fadhira kubwa.Kwa ile daraja yake na utukufu wake kaifanya ibada hii kuwa ni ya kwake peke yake.
Hadithi ya Abu Huraira kasema"asema mtume s.a.w"Amesema mwenyezi mungu,"kila kitendo kwa mwanadamu ni chake isipokuwa saumu hiyo ni yangu,na mm nitamlipa ujira wake(anaefunga).Na saumu ni ngao(kinga).Ikiwa siku ambayo mtu amefunga,,basi asiseme machafu wala asiwe mfidhuli na wala asifanye vitendo ya kijinga.Na ikiwa mtu atamtukana aubatamlaani basi aseme mara mbili "mimi nimefunga".
Na kwa yule aliemiliki nafsi ya Muhammad, harufu mbaya inayotoka mdomoni mwa aliefunga ni bora mbele ya mwenyezi mungu siku ya kiama kuliko harufu ya miski.Na anayefunga anafuraha mbili:Wakati wa kufuturu anafurahia kwa futari yake,na wakati akikutana na Mola wake.
(Siku ya malipo) atakuwa na furaha kwamba alikuwa amefunga.
(Siku ya malipo) atakuwa na furaha kwamba alikuwa amefunga.
0 comments:
Post a Comment