MBIO ZA EDWARD LOWASSA NI HATARI SASA AVURUGA GEITA NA CHATO NA AZOA WADHAMINI 3,000.
Lowassa, akiondoka huku akiwa amezungukwa na umati wa watu nje ya ofisi za CCM wilayani Geita.
Lowassa akiteremka kutoka ndani ya ndege, kwenye uwanja mdogo wa mdege a Mgodi wa Geita (GGM)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkonomaelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayaniGeita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuombakuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015;
(Picha zote na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge a Monduli, Mh.
Edward Lowassa, akipokea fomu za udhamini za CCM baada ya ,kujazwa na wananchama wa CCM wilaya ya Geita, kwenye ukumbi wa CCM wilayani humo Juni 8, 2015. Mheshimiwa Lowassa, amedhaminiwa na jumla ya wanachama 3,000 wilayuani
hapo.
Waziri Mkuu a zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Losassa, akiwaaga wananchi na ana CCM waliofika kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Chato Juni 8, 2015.
0 comments:
Post a Comment