BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUKIO LA AFISA WA POLISI KUKUMBWA NA KASHFA YA KUMNYANYASA MSICHANA MWENYE UMRI WA MIAKA 14 LAMPONZA.



Polisi mmoja mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye mitandao ikionyesha akihangaisha kundi moja la vijana wengi wao wakiwa ni weusi.

Afisa hiyo anaonekana akiwalenga vijana wawili wa kiume kwa bunduki yake huku pia akimuangusha chini na kumkamata msichana wa umri wa miaka 14.

Polisi hao walikuwa wameitwa na wenyeji waliokuwa wakilalamikia kuwepo usumbufu kwenye kidimbwi kimoja cha kuogelea.


Mkuu wa polisi McKinney anasema kuwa, anachunguza tukio hilo ambalo linafanyika wakati kuna misukosuko baina ya jamii za watu weusi nchini Marekani wanaodai kunyanyaswa na polisi.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: