VYAKULA VINAVYOWAFANYA WATU MAARUFU KUENDELEA KUWA WAREMBO NDIVYO HIVI.
Elizabeth Michael ‘Lulu’
Kupunguza unene na kuwa mwenye afya kwa kula chakula bora.
Watu maarufu uonekano wao mbele ya kadamnasi utakuwa uwe wa kufutia, Hii ni kuanzia mavazi yanavyokaa mwilini. Utembeaji na jinsi ya kuongea vizuri kwa saute nzuri. Uonekano wao huboreshwa na kula vyakula vya kufanya mwili uwe na afya njema.
Aina ya vyakula vinavyofanya mwili uwe na afya njema na muonekano mzuri na sababu zake ni kama Ifuatavyo:
1. Samaki wana protein kwa wingi.Hii ni mnofu mweupe. Sababu: Minofu mieupe hutoa nguvu mwili kidogo sana ambayo hufanya mwili usinenepe.
2.Matunda aina ya Furusadi yaani berries huwa ni matamu na mazuri kwa uonjo wake. Sababu: Matunda haya hutI oa nguvu kidogo pia Yana nyuzi nyuzi kwa ajili ya kuweka tumbo sawa kwa kupunguza mafuta.
Wema Sepetu.
3.Kunde ni mboga yenye ghala mbili, yaani “dicotyledons”. Ina protein safi ya kijani yaani umbi jani lake Lina uwezo wa Kuongeza carbon na nitrogen na sulphur kufanya protein safi.
Sababu: Inatoa nguvu kidogo ambayo hufanya mwili usinenepe, pia huimarisha misuli kwa kuujenga mwili vizuri.
4. Mboga za majani. Hizi hulinda mwili na kufanya ngozi nyororo sana! Pia husaidia kuweka tumbo vizuri katika usagaji chakula. Sababu: Vyakula hivi vina nyuzi nyuzi au hamilojo husaidia sana katika kupunguza kitambi kwa kunyonya mafuta tumboni.
Kwa hiyo watu maarufu hula mchanganyiko maalum wa vyakula na wanakuwa na afya bora.
Angalia picha za watu maarufu wanaotumia vyakula hivi. Jitahidi kula vyakula hivi kila siku.
0 comments:
Post a Comment