Shimo alilotumia kutoroka na kutembea kwenye bomba mwendo wa kilomita moja na nusu.
El Chapo muuza madawa nguli baada ya kutoroka jela Jumamosi asema FBI nikamateni kama mnaweza. Akiwa uraiani anabarizi na helikopta.
Akiwa na familia yake ankunywa bia hana habari.

0 comments:
Post a Comment