BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NDIYO AJALI YA AINA YAKE !!! GARI LAPATA AJALI, LATUMBUKIA NDANI YA NYUMBA KUPITIA KATIKA PAA.

null 
Mapema leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini Afrika Kusini kupitia paa la nyumba hiyo kulingana na huduma ya dharura ya ER24 nchini humo.
null Dereva wa gari hilo amesema kuwa alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo.

Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: