BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KWANINI WANAWAKE WENGI HUAMUA KUFANYIWA UPASUAJI ILI KUKWEPA UCHUNGU WA UZAZI ?.

 
Wanawake wengi huamua kufanyiwa upasuaji kukwepa uchungu wa uzazi 

Sheria hizo mpya zinawalazimu madaktari kuwaarifu wanawake kuhusu hatari zilizopo na pia kuwashurutisha watie saini fomu za idhini yao kabla ya kuwafanyia upasuaji huo wakati wa kujifungua.

Madaktari hao pia watahitajika kutoa rekodi ya kujifungua kwa akina mama na kubainisha ni kwanini ilibidi wafanyie upasuaji.

Wanawake wengi Brazil hupendelea kuzaa kupitia upasuaji.

Katika hospitali za umma wanawake huona ndio njia salama na kwa walio na uwezo, wao huamua kuwalipa madaktari kando, kukwepa kukabiliwa na saa kadhaa za uchungu wa uzazi katika hospitali zilizojaa wagonjwa.

Wanawake walio tajiri wanaokwenda katika hospitali za kibinafsi, wanaona upasuaji wakati wa uzazi ndio njia ya kisasa ya kujifungua.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: