Waumini wa dini ya kiislam wakiwa jirani na darubini zenye uwezo wa kuona mbali ikiwa na lengo la kusaka mwezi kama umeandama.Hatua hiyo inakuja baada ya kukaribia kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani hasa funga inapokaribia kuisha ambapo wakati mwingi hulazimika kutumia vifaa maalum ili kuona kama mwezi umeandama.
Vifaa hivyo husaidia kuona kama mwezi umeanda kutokana na hesabu za dini ya kiislam mwezi huandama kati ya mwezi 29 ama mwezi 30 ili kutoa fursa ya waumini kufungulia kisha swala ya Edd El Fitr kuswali asubuhi yake duniani kote.

0 comments:
Post a Comment