BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS DKT KIKWETE AIPAISHA TARAFA YA MALINYI KUWA WILAYA KATIKA MKOA WA MOROGORO.

Rais Jakaya kikwete ameridhia kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya za Tanganyika, Ubungo, Kigamboni, Songwe, Kibiti na Malinyi. 


Halmashauri za wilaya ni 25 zikiwemo Buchosha, Malinyi, Madaba, Manyoni Mpimbwe, Msimbo, Mlele, Kakonko, Kyerwa, Uvinza, Chemba, Nyang'alwe Busega, Itilima na Ikungi.

Halmashauri za MIJI ni pamoja na Chalinze, Ifakara, Newala, Mbulu, Mbinga, Nzega Geita Kasulu Ilemela na Kahama pia tarafa tano.

Waziri mkuu amemaliza na kwa sasa ni Jenista Mhagama anaongelea baadhi ya kanuni zinatenguliwa ili kuruhusu wageni ambao kanuni zilikuwa haziruhusu walioalikwa na mheshimiwa spika ili kuketi ndani ya ukumbi wa bunge na si sehemu waliyotengewa wageni. 


Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Jaji mkuu na waheshimiwa majaji wote atakaombata nao kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya rais na hoja imeungwa mkono.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: