Rais Jakaya Kikwete akipokea mfano wa ufunguo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahaman Kinana huku ikishuhudiwa na Rais wa Zanzibar Dk Mohamed Shein na Filipo Mangula ikiwa ishara ya uzinduzi wa jengo la chama hicho tawala mjini Dodoma leo. Rais Kikwete akibonyeza alamu ikiwa ishara ya uzinduzi wa jengo la ukumbi wa CCM, kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dka Bilal, Rais wa Zanzibar Dk Shein na Katibu mkuu wa CCM, Kinana.Dkt Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa chama na serikali Kikwete akizungumza jambo mara baada ya kuzindua.JK akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment