BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAMADHAN SINGANO 'MESSI' MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA AZAM FC, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI.

 

Ramadhan Singano 'Messi' leo amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu ya Azam FC, ikiwa ni siku mbili tu baada ya Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kamati ya Maadili na Hadhi za wachezaji kuvunja mkataba wake na klabu ya Simba.


Messi ataungana na wenzake katika mazoezi ya Azam FC yanayofanyika chini ya Mwingereza, Stewart Hall.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: