UBUNGE SASA DILI LA UKWELI ! DAUDI MRINDOKA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM JIMBO LA MOSHI MJINI mtanda blog 11:25 AM siasa , slider Edit Kijana Daudi Mrindoko amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Moshi mjini. Siku ya ijumaa 17 Julai 2015 alifika ofisi ya CCM wilaya Moshi Mjini na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi ya CCM. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment