Kamera aina ya Drone imekuwa kivutio namna inavyoruka huku ikipiga picha katika matukio ya mkutano husika kutoka angani. Moja ya kifaa cha Kisasa kabisa aina ya Drone ambacho kilikua kikitumika kupiga picha kutoka anagani ambacho kimekuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa jiji la Dar Es Salaam jana katika viwanja vya jangwani katika ufunguzi wa kampeni ya urais kupitia Ukawa .Picha zote na Josephat.
Ya hapa chini ndiyo inayotumika katika mikutano ya kiasiasa kwa Tanzania.
Picha ya juu ikionyesha Sehemu ya watu mbalimbali na chini waliohudhuria mkutano wa ufunguzi wa mgombea
urais kupitia Ukawa Edward Lowassa akiwakilisha chama cha demokrani na
maendeleo (Chadema) jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / siasa /
slider
/ KAMERA AINA YA DRONE ILIYOGEUKA KUWA KIVUTI KAMPENI YA URAIS KWA EDWARD LOWASSA JANGWANI DAR ES SALAAM.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment