
Rais mstaafu DKT Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais mpya Dkt John Joseph Pombe Magufuli katika uwanja wa kutua chopo eneo la Ikulu baada ya kukabidhi ofisi kisha kuanza maisha mapya ya ustaafu kabla ya kupanda chopa hiyo na kuelekea kijiji Msoga mkoani Pwani kwa ajili ya mapumziko baada ya kuongoza Tanzania kwa miaka 10.
(Former president Jakaya Kikwete officially left Ikulu today to begin his retirement life at Msoga village in Coast Region. The former president left the statehouse accompanied by his wife Salma late noon to Msoga using a helicopter.)

Hapa akisindikizwa na Dk Magufuli wakati akiondoka eneo la Ikulu.

Akiagana na wafanyakazi wa Ikulu huku Rais Magufuli akifuatilia kwa karibu tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment