Ajali ya gari ndogo iliyotokea leo Tegeta jijini Dar es Salaam inadaiwa kutokea na kusababisha kifo cha abiria mmoja huku mtoto mdogo akinusurika.
Taarifa zaidi tutaendelea kuwajulisha

0 comments:
Post a Comment