BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS ! KIVUKO CHA MTO KILOMBERO CHAZAMA KATIKA MTO KILOMBERO IFAKARA MOROGORO

Kivuko cha Mv Kilombero kimezama jana usiku majira ya saa 1 kikifanya kazi ya kuvusha mali na watu na kuelezwa kikizama na watu na magari manne kufuatia upepo mkali uliosababisha kukiyumbisha na kupelekea kupoteza mwelekeo kisha kuzama.

Taarifa zaidi tunaendelea kufuatilia ili kuweza kujua maafa yaliyojitokeza.....

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: